Thursday, July 20, 2017
BARUA YA TUPAC YAZUIWA KUPIGWA MNADA
Tumeshuhudia vitu vingi sana vya marehemu Tupac vipigwa mnada, vikiwemo Nyumba, biblia aliyotumia wakati upo jela na mengine mengi, Sasa This time barua aliyoiandika Tupac kwa ajili ya Madonna imezuliwa kupigwa mnada.
Barua hiyo ya Tupac inatajwa kuandikwa Januari 15 mwaka 1995 kwenda kwa mwanamama Madonna kwa ajili kuvunja mahusiano yao kipindi hiko, Barua hiyo ilikuwa ...
ishaingizwa kwenye mnada kwa mtonyo wa dola Laki moja, Sasa kupitia Amri ambayo ilitolewa na Jaji huko New York, alipiga marufuku kwa vitu vya Madonna ambavyo ni personal Vikiwemo brashi ya nywele yenye nywele za Madonna pamoja na barua kutoka kwa Tupac zote ziondolewe kwenye orodha ya bidhaa za mnada.
“Can u understand that? For you to be seen with a Black man wouldn’t in any way jeopardize your career. If anything it would make you seem that much more open & exciting, But for me at least in my previous perception I felt due to my ‘image’ I would be letting down half of the people who made me what I thought I was. I never meant to hurt you.” Moja ya maandishi ambayo yanapatikana kwenye barua hiyo ya kuvunja mahusiano yao.
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment