Beyonce ameamua kuwaonyesha hadharani watoto wake mapacha.
Muimbaji huyo kupitia mtandao wa Instagram, ameonyesha kuwa watoto hao wana mwezi mmoja tangu wamezaliwa.
“Sir Carter and Rumi 1 month today. ” ameandika Queen Bey kwenye mtandao huo.
Mapacha hao waliozaliwa ni mmoja wa kike na mwingine wakiume na tayari walishapewa...
majina ya Sir na Rumi.
0 comments:
Post a Comment