Wednesday, July 19, 2017
SERIKALI YA NIGERIA YATOA AGIZO PETER WA P-SQUARE AKAMATWE
Msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria ambaye analipresent kundi la P Square Peter Okoye, amedondokea kwenye majanga baada ya kusemekana kuitukana serikali ya Nigeria kupitia kurasa yake ya Twitter.
Chama tawala huko Ngeria, APC kimelitaka jeshi la polisi kumkamata msanii huyo kwa kitendo ambacho wanadai kwamba PETER OKOYE ameitukana serikali, Ishu hiyo imekuja baada ya Serikali ya nchini Nigeria kuwapiga marufuku wasanii kufanya...
video nje ya nchi ya Nigeria, na baada ya hapo Peter Okoye akaamua kutoa mawazo yake kuhusu sakata hilo ndipo chama hicho nacho kikaja juu kudai kwamba msanii huyo ameitukana Serikali.
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment