
Hit maker wa Seduce Me, Alikiba amewashukuru mashabiki kwa kuusupport wimbo wake mpya ‘Seduce Me’ huku akiahidi kuachia wimbo mpya October 15 mwaka huu kama video ya wimbo ‘Seduce Me’ itafikisha views milioni 10 ndani ya kipindi hicho.
Get News, Music, Video and Software......




0 comments:
Post a Comment