Pages

Subscribe:

Wednesday, September 13, 2017

KAMPUNI YA VIATU AIR JORDAN WAZINDUA KIATU KIPYA

Jordan Brand
Kampuni ya NIKE imekuja na toleo jipya la viatu kwa wapenzi wa viatu vya JORDAN,Viatu hivyo vimepewa jina la Air Jordan 8 silhouette ambapo bei ya kiatu hichi ni...
dola 190, kwa wale wapenzi wa fashion kiatu hiki kwa sasa ndio kipo kwenye trend baada kuwa na muonekano tofauti na aina zote za jordan.
Jordan Brand

Jordan Brand

0 comments:

Post a Comment