Pages

Subscribe:

Saturday, September 2, 2017

TEGEMEA HIT NYINGINE YA KIMATAIFA KUTOKA KWA HARMONIZE



We got a continental hit 💣
@harmonize_tz Ft M3GA 🇳🇬🇳🇬🇹🇿🇹🇿
Siku kadhaa zilizo pita nilikuletea habari kuhusiana na Msanii kuroka WCB Harmonize kupiga kambi nchini Nigeria lakini haikuweza kufahamika ktk ziara yake nchini humo pamoja na kufanya ngoma haikujulikana Harmonize atafanya nyimbo na nani lakini ktk pita pita zangu huko instagram nimekutana na hii.

Kwenye Account ya msanii Korede Bello siku kadhaa ameonekana akipost picha yupo studio na msanii kutoka Tz Harmonize na moja ya picha aliyo ipost msanii huyo ilikuja na caption inayo sema...
We got a continental hit 💣
@harmonize_tz Ft M3GA 🇳🇬🇳🇬🇹🇿🇹🇿


Korede hakuishia hapo aliendelea kupost picha nyingne kadha wa kadha na kuongea maneno mbali mbali yakiashiria kuna ujio wa collable kat yao. 

Wakati huo upande wa pili Harmonize na yeye alipost picha hizo na kuandika 
The wait is over now cc @koredebello 💣💣





0 comments:

Post a Comment