Pages

Subscribe:

Tuesday, October 31, 2017

BAADA YA UWOYA KUOLEWA NDIKUMANA AJIBU MAPIGO KWA VITENDO


Mume Halali wa Uwoya Mzee baba Ndikumana apata wa kumpoza moyo wake Kabla hajatoa Talaka kwa Uwoya

Aliyekuwa mume halali wa muigizaji wa filamu bongo Irene Uwoya, mcheza soka kutoka nchini Burundi Hamad Ndikumana, ameonyesha kujibu mapigo baada ya mwenza wake kuonekana kuolewa, kwa kupost picha akiwa na mwanamke mwengine. 
Kwenye ukurasa wake wa instagram Ndikumana amepost picha hizo, huku akiandika ujumbe kama ambao unaonekana ni kurusha vijembe kwa mwenza wake huyo, ambaye...

IRENE UWOYA: BADO NALIA MACHOZI YA FURAHA KUOLEWA NA DOGO JANJA


Ahsanteni sana familia yangu kwa ushirikiano wenu the real queen of bongoflava is back the video is cumin soon #therealqueenisback @babutale @madeeali @kassimmganga @dogojanjatz
Irene Uwoya amethibitisha tetesi za kuwa amefunga ndoa na Dogo Janja. Ameandika kwenye Instagram kuwa ana furaha kubwa kuolewa na rapper huyo ambaye ni mwanaume wa ndoto yake.
 
Kabla ya hapo, Irene Uwoya alikuwa ameolewa na Hamad Ndikumana na...

BARAKAH THE PRINCE: NIKIACHANA NA MWANAMKE LAZIMA AWE ADUI YANGU



Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Barakah The Prince amesema anapoachana na mpenzi wake ni lazima awe adui yake kwanza, hivyo wale wanaodai kuwa wameachana na mpenzi wake, Naj hilo halipo kwa sababu bado wapo pamoja.

Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Sometime’ amefunguka kuwa endapo ameachana na Naj watu wangejua tu kutokana na kasumba yake ya...

Download: Foby x Mr. Blue_Naomba


Download

Download: Lui_1 On 1


Download

Download: Aslay X Nandy_Mahabuba


Download

Monday, October 30, 2017

NDEGE YA URUSI ILIYO POTEA YAPATKANA NCHINI NORWAY

Norway inasema kuwa kundi la watafutaji limepata mabaki ya ndege ya Urusi aina ya helikopta, ambayo ilianguka baharini ikiwa na watu 8 ndani yake.
Ndege hiyo ambayo haikuwa haijulikani iliko tangu Alhamisi, kwa sasa iko chini ya bahari karibu na eneo la Barentsburg, kwa mujibu wa maafisa. Polisi nchini Norway sasa wanaweza...

Watch & Download: Izzo Buzness ft Fatma_Tusiwatese (Official Vdeo)


Watch Here

Watch & Download: Izzo Bizness ft Quick Rocka_Mkemia Mkuu (Official Video)


Watch Here

DIAMOND: SIJAWAHI KUWASHOBOKEA WAMAREKANI HUWA WANAITAFUTA WAO



Diamond amefunguka kuhusu fedha anazowalipa wasanii wa Marekani kwa ajili ya kufanya kolabo. Akiongea na Dizzim Online hit maker huyo wa Hallelujah amesema kuwa hakuna fedha yoyote ambayo amewahi kumlipa msanii yoyote wa nchi hiyo ambao tayari ameshafanya nao kolabo.

“Mimi sijawahi kulipa kolabo yoyote kwanza ya Marekani niliyowahi kufanya, sijawahi kulipa na ukichunguza kiundani kolabo zangu na Wamarekani siyo kitu ambacho...

BARAKAH THE PRINCE: SIJAFULIA NA WALA SIJAUZA GARI YANGU


Msanii wa muziki Bongo, Baraka The Prince amejibu tetesi za kuyumba kimaisha, Tangu msanii huyo kuondoka katika label ya RockStar4000 kumekuwa na taarifa zinazodai msanii huyo kuyumba kiuchumi hadi kupelekea kuuza gari kitu ambacho amekikanusha.

“Sijawahi kufanya hivyo, kwanini niuze gari yangu sema hizi fununu, watu...

LAMAR: PRODUCERS WA BONGO NDIYO TUNAREKODIA NYIMBO GHARAMA NDOGO AFRIKA

Producer wa muziki kutoka studio za Fish Crab, Lamar amesema producer wa Bongo wanatoza gharama za chini zaidi katika kurekodi ukilinganisha na nchini nyingine Afrika. Kutokana na hilo Lamar ameshauri kuwa ni vema kwa wasanii kutoa sapoti kwa producer wa Bongo na si vinginevyo.

“Soko letu katika producers sisi ndio ambao tunatoza gharama za chini kimuziki Afrika, ukienda South Africa watu wanachajiwa mpaka...

HONEYMOON YA SHILOLE KULIWA BALANI ULAYA


Mume mtarajiwa wa msanii ambaye ni mfano wa kuigwa kwa mabinti kutokana na juhudi zake za kupambana na maisha, Zuwena Mohamedi au Shilole, ameweka wazi matarajio ya kumpeleka Ulaya kula 'honey moon' mke wake huyo mtarajiwa. 

Akizungumza na mwandishi, mwanaume huyo anayejulikana kwa jina la Uchebe, amesema ndoa yake na msanii huyo itakuwa mwezi wa 12 mwaka huu kwa kuwa...

FARU ATUNZWA KWA GHARAMA YA TSHs. MILIONI 250

FARU
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), imeanza kulima majani aina ya lusini ambayo ni chakula cha Faru Fausta ili kupunguza gharama za kumtunza mnyama huyo.

Faru Fausta mwenye miaka 54 anahifadhiwa kwenye banda ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro ikiwa ni hatua ya kumlinda asiliwe na wanyama wengine kutokana na...

WASANII WA MUZIKI NCHINI KENYA WABEBESHANA ZIGO LA LAWAMA

Baadhi ya wasanii nchini Kenya wameanza kutupiana lawama kwa kukaa kimya bila kupaza sauti kwamatukio mya mauaji ya kisiasa yanaoendelea nchini humo. 

Miongoni mwa wasanii hao ni pamoja na Octopizzo ambaye hivi karibuni alimvaa msanii mwenzake Jaguar akimtuhumu kukaa kimya bila kuchukua hatua yoyote juu ya vijana wa eneo lake wanaofanya vurugu hadi...

Sunday, October 29, 2017

T-SHIRT YA DIAMOND PLATNUMZ YAGOMBANIWA NCHINI CONGO


BLACK BOTTLE BOYS WILL NEVER STOP!!!🔥 #ABoyFromTandale #BBB #LuxeBoys #GoldSquad

Moja kati ya Video Clips zilizo sambaa sana kwenye mitandao ya kijamii ni hii ya tukio la wananchi wa Congo DRC ambao waliizunguka moja kati ya Hoteli nchini humo ambayo iligundulika kuwa Diamond alikuwa amefikia.

Baada ya kelele nyingi kutawala ilimbidi Diamond ajitokeze juu ya Ghorofa ya hoteli hiyo na kuweza kuwasalimu mashabiki baada ya salamu Diamond alitupa T-shirt aliyokuwa ameivaa na kusababisha mvutano kwa mashabiki. Tazama Video hapo chini...

BARAKAH THE PRINCE: KUACHANA NA ROCKSTAR4000 KUMENIPA CHANGAMOTO


S O M E T I M E S kaa karibu na bio yangu soon nakupa link ya kuweza kujipakulia...
@banamusiclab

Baraka The Prince ambaye sasa anajisimamia kupitia 'label' yake BANA MUSIC amekiri alipoachana na kampuni iliyokuwa inasimamia kazi zake ya Rockstar4000 kumempa changamoto kubwa kwani saizi kila kitu yeye ndiyo inabidi apambane tofauti na mwanzo.
Baraka The Prince amesema hata ukimya wake katika muziki kwa kipindi fulani ni kutokana na ukweli kwamba alikuwa anakutana na...

VIDEO: JOKATE ATOA AHADI YA KUJENGA UZIO SHULE YA SEKONDARI


Shule ya Sekondari Mugabe. 💖💞💖

Jokate alitembelea shule ya Sekondari Mugabe akiwa kama mgeni rasmi katika maafari ya kidato cha nne na kuweza kukutana na changamoto mbali mbali za shule hiyo na mwisho aliahdi kutoa mifuko kadhaa ya Cement ili kujenga uzio wa shule hiyo.

Kupitia Ukurasa wake wa Insta Jokate ameandika:
Nilitembelea Shule Ya Sekondari Mugabe iliyoko Sinza A, Wilaya ya Ubungo Kama Mgeni Rasmi wa Mahafali ya 9 ya Kidato Cha Nne na kuweza...

AY: BIFU LA JAY DEE NA FA LILINIPA WAKATI MGUMU


Higher than Most #Ying&Yang
Msanii mkongwe wa muziki wa bongo fleva nchini AY amefunguka na kusema kuwa bifu kati ya msanii Mwana FA na Lady Jaydee yeye ilikuwa inamsumbua sana na kusema aliamini ipo siku wanaweza kumaliza tofauti zao.
AY amesema kuwa kwa kuwa yeye alikuwa ni rafiki wa wasanii hao wote hivyo ilikuwa inampa ugumu kuona...

NDOA YA IRENE UWOYA WATU WAZUIWA KUINGIA NA SIMU UKUMBINI

Baada ya Irene Uwoya kufunga ndoa Jana japo bado mume aliyefunga Naye hajamuweka wazi rasmi japo kuna uvumi ni Dogo Janja. Kutokana na watu waliohudhuria sherehe Hiyo.

Jambo la kushangaza lililowaudhi waudhuriaji ni ile Hali ya kuzuia watu wasiingie na simu ukumbini na kukataza watu kupiga picha ukumbini na kulikuwa na...

VIDEO: TEGEMEA COLLABLE KUTOKA KWA DIAMOND NA MDOGO WA R. KELLY


@1omarion 💥💣🔫 #ABoyFromTandale

Ktk pita pita zangu leo nmekutana na post kadhaa za picha pamoja na video ikimuonesha Diamond Platnumz na Omarion wakiwa pamoja japo ktk ukurasa wa Diamond hajapost chochote wala hajazungumza chochote kuhusiana na swala hilo.

Imeonekana ktk ukurasa wa Zari mama wa toto wa Diamond picha ambayo zari amepiga akiwa na wawili hao na kuandika caption iliyo someka...

NIKKI WA II: NITAKAPO KUWA RAIS HAPO BAADAE HAKUTAKUWA NA NENO WAHAMIAJI HARAMU


Kila mtu ana ndoto na malengo yake ktk maisha anayo ishi na uzuri wa ndoto kama ukiiwekea malengo huwa inakupa asilimia 50 kwa 50 maandalizi yakiwa mazuri basi unaweza kufankisha jambo unalo liota, Moja kati ya ndoto kubwa za Nikki wa II kutoka kundi la weusi ni kuja kuwa kiongozi hapo baadae.

Mara kadhaa nikki amekuwa akipost point ktk mitandao yake ya kijamii ambazo kwa mtu mwelewa akisoma na kutafakari hawezi kutoka patupu lazma ujengeke kwa kiasi fulani na sasa Nikki ameamua kuweka wazi mambo makuu 8 atakayo yafanya endapo atakuwa Rais hapo baadae.  Nitakapo kuwa Rais hapo baadaee inshalla
1. Kikaoo kikubwa cha serikali yangu sio baraza la mawaziri itakuwa...

Saturday, October 28, 2017

Watch & Download: Barakah The Prince_Sometimes (Official Video)

 

Watch Here

CATALONIA YASHINDA KWENYE KURA ZA KUWA TAIFA HURU

Bunge la Catalonia limepiga kura ya kujitoa Spain, na kuibuka na ushindi wa kishindo kwa kupata kura 70 za wabunge waliokubali kujitoa, na kura 10 za wale waliopinga. 

Zoezi hilo la kupiga kura limefanyika leo, huku kukiwa na usiri mkubwa kwa wale waliopiga kura za kujitoa, baada ya Mwanasheria Mkuu wa nchi hiyo kuahidi kuwashtaki watakaopiga kura ya kukubali kujitoa, kwa kosa la...

RUBY AFUNGUKA JUU YA UJIO WA KOLABO YAKE NA YEMI ALADE



Msanii wa muziki Bongo, Ruby amefunguka kuhusu tetesi za ujio wa kolabo yake na msanii wa Nigeria, Yemi Alade. Muimbaji huyo ameeleza kuwa hawezi kuweka sana hilo wazi kwani mipango yake sasa ni kuvunja ukimya wake kwa upande nyumbani.

“Siwezi nikasema tayari kila kitu kimemalizika lakini vitu vipo, sitaki kusema kabisa kwenye kolabo za kimataifa natamani...

OLAMIDE ATIFUKA HUKO TWITTER AMJIBU SHABIKI ALIYE MTABILIA MABAYA


Mfalme wa mtaa, Olamide amemjibu shabiki aliyejifanya kutabili kuwa karibuni Olamide atakuwa msanii chipukizi “upcoming artiste” kama Ice Prince.

Boss huyo wa YBNL anayejulikana kwa kutoa majibu makali kwa mashabiki wenye comment za matusi, amemtolea uvivu shabiki huyo kwa kutweet post iliyosomeka...

HARMONIZE AFUNGUKA HAYA JUU YA KUACHANA NA WCB


Msanii wa muziki wa Bongo Flava kutoka label ya WCB, Harmonize amejibu iwepo anaweza kuondoka katika label hiyo. Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ‘Shulula’ ameiambia The Playlist ya Times Fm kuwa hawezi kufanya hivyo kwa sasa.

“Hapana kwa sababu unapozungumzia Harmonize inaizungumzia WCB, so bila WCB hakuna Harmonize, yaani kama...

MIMI MARS AJIWEKA KANDO BIFU LA VERA SINDIKA NA HAMISA MOBETTO



Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Mimi Mirs amekataa katu kuzungumzia kile kinachoendelea kati ya Vera Sidika na Hamisa Mobetto. Muimbaji huyo ambaye bado anafanya vizuri na ngoma yake ‘Dedee’, alipoulizwa na kipindi cha Clouds E kuhusu beef ya video vixen hao alijibu;.

“Tangia nimeacha kufuatilia haya mambo siyo kivile kwa hiyo sina comment kuhusiana na hawa watu, siwezi kusema chochote kila mtu anatafuta...

DIAMOND AWA MSANII WA KWANZA AFRIKA KUSAINIWA NA UNIVERSAL MUSIC GROUP


Today have become the first African Artist Signed under Universal Music Group to get 6x Platinum Sales on My Single #MarryYou ft @Neyo..... on behalf of my team & @Neyo would like to thank all the fans & Media Around the world  #MarryYouDN #MaryYou #AboyFromTandale (Leo nimekuwa msanii wa kwanza wa kiafrika alosainiwa Universal Music Group kufikisha Mauzo ya nyimbo yake Platinum Mara sita Mfululizo kupitia nyimbo ya #MarryYou nilomshirikisha @Neyo.... kwa niaba ya Team yangu na @neyo tungependa kuwashukuru Mashabiki na Media zote Ulimwenguni...🙏)
Kila kukicha Diamond huwa anazungumzwa kwa mambo tofauti. Sasa good news kwa Diamond na kwa Tanzania pia ni kwamba wimbo Marry You wa Diamond akiwa amemshirikisha staa wa rnb kutoka USA Ne-Yo Umeonekana kuwa na mafanikio kwa kufikisha mauzo ya Platinum mara sita mfurulizo.
 
Mauzo hayo yamepelekea Diamond Platinumz kuwa msanii wa kwanza kutoka barani afrika kusainiwa na  Universal Music Group, Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond amepost picha hiyo hapo juu na kuandika ujumbe huu...

PICHA: AIKA NA NAHREEL MAMBO YAMEKWIVA SASA WANATARAJIA KUPATA MTOTO


Mr #GOLD tunakusibiria sana kwa hamu.... 🙏🙏🙏
Phootshoot concept by @nahreel
Unapo zungumzia couple za mastaa wa bongo ambao wamedumu kwa muda mrefu na hawajawahi kuwa na skendo basi huwezi kuwasahau Aika na Nahreel wanaounda kundi la Navykenzo. 
 
Lakini good news kwa mashabiki wa couple hiyo ni kwamba wawili hawa wanataraji kupata mtoto wao wa kwanza, Kupitia kurasa zao huko insta wameamua kuweka wazi matarajio yao na mastaa mbali mbali wameweza kuwapa pongezi. Tazama picha kadhaa hapa chini za mama kijacho Aika...

Friday, October 27, 2017

HIZI NDIYO SABABU ZA ROSA REE KUACHANA NA THE INDUSTRY


Siku ya Jumatano alipokuwa akitambulisha ngoma yake mpya ''DOW'' Rapper Rosa Ree alifunguka  kuondoka rasmi katika label ya The Industry.
 
Rapper huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Dow’ alisema mkataba wake na label hiyo ulimalizika na hakuongeza...

CHIN BEES APINGA SWALA LA T.I KUWA MWANZILISHI WA MUZIKI WA TRAP


Image result for chin bees
Unakumbuka ile stori ya ujazo kuhusu rapper T.I kufunguka kwamba yeye ndiyo mwanzilishi wa ngoma za miondoko ya Trap. 

Sasa Chin Beez ameamua kufunguka juu ya hilo na kudai kwamba, T.I sio mwanzilishi wa muziki wa Trap ila ngoma zake zimetengeneza hit kubwa sana mpaka kufikia hatua ya...

Download: Simco_Come Over


Download

Watch & Download: Q Boy ft Mr Blue_Kamoyo (Official Video)


Watch Here

Download: Q Boy Msafi ft Mr. Blue_Kamoyo


Download

RATIBA YA CARABAO CUP ARSENAL KUMVAA WEST HAM


Arsenal itakutana na West Ham Robo Fainali ya Kombe la Carabao msimu wa 2017/2018 baada ya droo iliyopangwa jana.

Timu nyingine ya London, Chelsea itakuwa mwenyeji wa AFC Bournemouth, wakati mahasimu wa Jiji la Manchester watakuwa ugenini wote safari hii, Man City watakuwa wageni wa...

TATTOO YA MJUSI SHINGONI YAMKWAZA WEMA ATAMANI ISINGE KUWEPO KABISA


STAA mwenye nyota kali Bongo, Wema Sepetu, amefunguka kuwa hakuna kitu ambacho anakichukia kwenye mwili wake kama tatuu yake ambayo iko shingoni.

Wema alisema alichora tatuu hiyo akiwa bado mdogo na alimwambia mchoraji achore kitu kirefu kishuke shingoni ndipo alipochora kitu kama mjusi.

“Natamani sana kuifuta tatuu yangu hii lakini nasikia...

NIKKI WA II: WAZO KAMA UMELIWAZA NA KUKAA NALO KICHWANI HAINA MAANA


Msanii wa kundi la Weusi, Nikki wa Pili ameeleza sababu ya kupendelea kuandika mambo chanya (positive) katika mitandao ya kijamii.

Rapper huyo amesema kuwa anapendelea kufanya hivyo kutokana huwa anajifunza/kusoma vitu vingi hivyo kila ambacho anakuwa amekipata kwa wakati huo anaamua...

MAPACHA WALIOSHIKANA VICHWA WAFANIKIWA KUTENGANISHWA


madaktari wa upasuaji katika mji wa India Delhi wamefanikiwa kutenganisha  wavulana pacha waliokuwa wameshikana kichwani, wavulana hao wa miaka miwili (jaga na kalia) walifanyiwa upasuaji uliochukua takribani saa 16 na sasa wako katika chumba cha wagonjwa mahututi ICU, kulingana na taarifa za madaktari.
 
kundi la madaktari 30 walifanya upasuaji huo katika taasisi ya matibabu ya sayansi  ya All India. wavualana hao walizaliwa wakiwa wanatumia...

MAUMBO YA WAKIMBIZI YAVUNJA NDOA ZA WATU KIGOMA



Maumbo ya wanawake wakimbizi kutoka nchi jirani ya Burundi huko mkoani Kigoma yamezua gumzo baada ya akina Baba kuzitelekeza familia zao na kuoa wanawake hao wakirundi. Baadhi ya Wanaume katika wilaya ya Kakonko wanadaiwa kutelekeza ndoa zao na kwenda kuoa wanawake hao wa Kirundi huku sababu ikiwa ni uzuri maumbo yao.

Hayo yameelezwa na wanawake wa kijiji cha Kaziramihunda, kilichopo kata ya Kasanda wilayani Kakonko mkoani Kigoma mbele ya Mkuu wa...

RIHANNA AKAVA KWENYE JARIDA LA VOGUE ARABIA



Mwanamuziki Rihanna amekava jarida la Vogue Arabia linalotarajiwa kutoka ifikapo Novemba mosi mwaka huu. Vogue Arabia ni jarida linalozungumzia masuala ya urembo, mitindo na utamaduni kutoka katika nchi zilizopo Mashariki ya kati ya Uarabuni.

Rihanna(29) ambaye pia amejikita katika masuala ya biashara atatokea katika jarida hilo akiwa amezungumzia...

JADEN SMITH KUACHIA ALBUM ILIYO ANDALIWA MIAKA MITATU


Baada ya kumshuhudia kwa muda mrefu katika ulimwengu wa filamu na maswala ya Fashion, Jarden Smith, anatarajia kuachia Album yake mpya ya SYRE A BEAUTIFUL CONFUSION, Novemba 17 mwaka huu.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Jaden ameweka video ikionyesha kuwa Album hiyo inakuja very soon, Sasa moja ya kitu ambacho kimewashangaza wengi ni kuhusu...

Z ANTO: KAULI YA PRODUCER LAIZA WA WCB NI YAKIPUMBAVU




Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Z Anto amesema kauli aliyotoa producer wa WCB Laiza juu ya kusampo biti ya ngoma ya Davido ‘Fall’ na kuitumia katika ngoma ya Diamond ‘Eneka’ ni ya kipumbavu.

Kipindi cha nyuma Laiza alipoulizwa kuhusu hilo alieleza ngoma hizo hazijafanana na hata ikitokea hivyo hamna shida kwani Tanzania haina muziki wake bali inachukua kutoka...

ASLAY: SIPENDI KABISA MSANII AMBAYE ANAVIMBA



Msanii muziki wa Bongo Flava, Aslay amesema uwepo wa familia nyuma yake kunampa hasira ya kufanya muziki mzuri. 

Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ‘Natamba’ ameiambia XXL ya Clouds Fm wasanii wote ambao wanafanya muziki kutokana na sababu fulani nyuma yao kama hiyo kuna uwezekano...

ROSA REE APINGA KUACHA KUTUMIA KIINGEREZA KWENYE MUZIKI WAKE



Msanii wa muziki wa hip hop Bongo Rose amesema ni vigumu kuacha kutumia lugha ya kingereza katika ngoma zake kwani muziki ni vile ambavyo mtu anataka kujielezea na si vinginevyo.

Rapper huyu ameendelea kwa kusema si kwake tu bali hata kwa wasanii wengine wanaweza kutumia lugha yoyote kufikisha kwa jamii kile ambacho wanakitaka kwa...

Thursday, October 26, 2017

MTANDAO WA TWITTER WAMTESA VANESSA MDEE AAMUA KUOMBA MSAADA


Related image
Vanessa Mdee bado anahitaji msaada katika sekta nzima ya Mitandao ya kijamii, Baada ya kushangaa kuona Whatsapp ina Stories kama ilivyo Instagram, This Time amekuja na kitu kingine, Inaonekana kama Emojiz pia zinamsumbua Vee Money.

Kupitia kurasa yake ya Twitter jana alitengeneza mjadala flani hivi na mashabiki zake baada ya kuwauliza kuhusu mana ya Emoji flani hivi ambayo inamwonyesha...

NICKI MINAJ ATAKA KUPEWA HESHIMA YAKE

Behind the scenes. After the shoot with the legendary Patrick 😍
Mwanadada kutoka record lebal ya Young Money nchini marekani Nicki Minaj awajia juu wasanii wanaoshindwa kumpa heshima yake toka aanze game ya muziki.

Nick ameonekana mwenye jazba sanaa kupitia mtandao wake wa twitter baada ya kutweet...

MWILI WA MFALME WA THAILAND KUCHOMWA MOTO SIKU YA LEO


Waombolezaji kote Thailand wanafanya matembezi kunaadhimisha sehemu kuu ya siku tano za sherehe za mazishi kwa ajili the Mfalme Bhumibol Adulyadej aliyeaga dunia.

Mfalme huyo alifariki Oktoba 2016 akiwa na umri wa miaka 88.
Mwili wake utateketezwa kwa moto baadaye Alhamisi, Kwa taratibu za kifalme zitakazoongozwa na...

BAADA YA KUBANA KWA MUDA MREFU HATIMAYE BEYOUNCE ALEGEZA KWA CARDI B


Image result for cardi b and beyonce
Baada ya Hustle za kufa mtu, amefanikiwa kupata kolabo na moja ya watu wazito kwenye gemu ya muziki, na mtu mwenyewe ni Beyonce.

Tangu alivyoachia ngoma yake ya “BODAK YELLOW”, imekuwa kama ngazi katika kufika kilele cha mlima wa mfanikio ambapo imempelekea kupokelewa na tuzo kibao pamoja na...

NE-YO ATARAJIA KUPATA MTOTO WA PILI KWA CRYSTAL SMITH



Msanii wa miondoko ya R&B duniani, Ne-Yo anatarajiwa kupata mtoto wa pili na mke wake Crystal Renay Smith. 

Awali msanii huyo alikuwa na watoto wawili aliyozaa na ex wake Monyetta Shaw. Ila baada ya kufunga ndoa mwaka 2015 na mpenzi wake Crystal Renay Smith walibahatika kupata mtoto mmoja wa...