Unapo zungumzia couple za mastaa wa bongo ambao wamedumu kwa muda mrefu na hawajawahi kuwa na skendo basi huwezi kuwasahau Aika na Nahreel wanaounda kundi la Navykenzo.
Lakini good news kwa mashabiki wa couple hiyo ni kwamba wawili hawa wanataraji kupata mtoto wao wa kwanza, Kupitia kurasa zao huko insta wameamua kuweka wazi matarajio yao na mastaa mbali mbali wameweza kuwapa pongezi. Tazama picha kadhaa hapa chini za mama kijacho Aika...![Dear #Gold we cant wait to see you 'little guy"](https://scontent-frx5-1.cdninstagram.com/t51.2885-15/s640x640/sh0.08/e35/c176.0.728.728/22711077_765839020270915_790705326029537280_n.jpg)
0 comments:
Post a Comment