skip to main |
skip to sidebar
BARAKAH THE PRINCE: SIJAFULIA NA WALA SIJAUZA GARI YANGU
Msanii wa muziki Bongo, Baraka The Prince amejibu tetesi za kuyumba kimaisha, Tangu
msanii huyo kuondoka katika label ya RockStar4000 kumekuwa na taarifa
zinazodai msanii huyo kuyumba kiuchumi hadi kupelekea kuuza gari kitu
ambacho amekikanusha.
“Sijawahi kufanya hivyo, kwanini niuze gari yangu sema hizi fununu, watu...
wanatengeneza mastori” amesema Barakah.
Barakah kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake ‘Sometime’ ikiwa ni
ngoma ya pili kutoka chini ya label yake ‘Bana Music’ baada ya ile ya
mwanzo ambayo ilikuwa ya Naj ‘Utanielewa’.
0 comments:
Post a Comment