“Soko letu katika producers sisi ndio ambao tunatoza gharama za chini kimuziki Afrika, ukienda South Africa watu wanachajiwa mpaka...
dola 5,000 kurekodi lakini sisi gharama za juu sidhani hata kama inafika milioni mbili/tatu” Lamar ameiambia Bongo5.
“Kwa hiyo wasanii wanatakiwa wasapoti producer wao, unakuta msanii anaweza kwenda South Africa akalipia labda dola 3,000 kufanya wimbo lakini huku hataki kulipia hela hiyo au anataka bure” ameongeza.
0 comments:
Post a Comment