Norway inasema kuwa kundi la watafutaji limepata mabaki ya ndege ya
Urusi aina ya helikopta, ambayo ilianguka baharini ikiwa na watu 8 ndani
yake.
Ndege hiyo ambayo haikuwa haijulikani iliko tangu Alhamisi, kwa sasa
iko chini ya bahari karibu na eneo la Barentsburg, kwa mujibu wa
maafisa. Polisi nchini Norway sasa wanaweza...kuwatafuta wale waliokuwa ndani ya ndege hiyo, taarifa hiyo ilisema.
Ilikuwa katika safari fupi kutoka Pyramiden kwenda Barentsburg eneo la madini la Urusi.
0 comments:
Post a Comment