Vanessa Mdee bado anahitaji msaada katika sekta nzima ya Mitandao ya kijamii, Baada ya kushangaa kuona Whatsapp ina Stories kama ilivyo Instagram, This Time amekuja na kitu kingine, Inaonekana kama Emojiz pia zinamsumbua Vee Money.
Kupitia kurasa yake ya Twitter jana alitengeneza mjadala flani hivi na mashabiki zake baada ya kuwauliza kuhusu mana ya Emoji flani hivi ambayo inamwonyesha...
kimtu kimeinama chini, nimependa kitu kimoja katika huo mjadala wa watu kumsaidia maana ya hiyo emoji, kuna shabiki mmoja alijitokeza kudai kwamba hiyo Emoji inamaanisha Kisela.
0 comments:
Post a Comment