Nyota kutoka nchini Nigeria kwa Wiki sasa amekuwa akiandamwa na kesi ya mauaji ya rafiki yake, Sasa Davido ameamua kuzifunga chapta hizo na kusonga mbele kwenye muziki, ameamua kuwapongeza...
mashabiki zake wote wa kweli ambao walikuwa nae bega kwa bega katika kumsapoti.
Vile Vile Davido aliongeza kwa kufunguka kwamba amewasamehe wale wote ambao walikuwa wanamshutumu kwa habari hizo za uwongo kwa kuwa amehusika na mauaji ya mshikaji wake.
Kwahiyo sahivi ni Time nyingine ambayo Davido ameamua kurudisha nguvu upya kwenye muziki wake.
0 comments:
Post a Comment