skip to main |
skip to sidebar
AY: BIFU LA JAY DEE NA FA LILINIPA WAKATI MGUMU
Msanii mkongwe wa muziki wa bongo fleva nchini AY amefunguka na kusema
kuwa bifu kati ya msanii Mwana FA na Lady Jaydee yeye ilikuwa inamsumbua
sana na kusema aliamini ipo siku wanaweza kumaliza tofauti zao.
AY amesema kuwa kwa kuwa yeye alikuwa ni rafiki wa wasanii hao wote hivyo
ilikuwa inampa ugumu kuona... watu hao wanashindwa kupiga hata stori.
0 comments:
Post a Comment