MTAYARISHAJI wa muziki nchini, Joseph Kimario ‘Master Jay’, amesema
alikuwa katika uhusiano wa kimapenzi na msanii Sarah Kaisi, ‘Shaa’ kwa
miaka 10 bila kuweka wazi. Akizungumza hivi karibuni, Master Jay alisema walikuwa
katika mapenzi ya siri kwa muda wote huo hadi...
walipoamua kuweka wazi
hivi karibuni baada ya watu kuhisi uhusiano wao.Mtayarishaji huyo ana watoto watatu kwa mke wake na hawana mtoto na Shaa



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment