skip to main |
skip to sidebar
SHETTA APANGUA TETESI ZA KUWA ANABEBA UNGA
Star wa Bongo Fleva Shetta anayefanya vizuri na wimbo wake mpya wa
”Namjua” ameweka wazi juu ya mafanikio yake baada ya kuwa na tetesi
nyingi kuwa siku hizi na yeye anabeba mabegi ya unga. Akizungumza na Enewz Shetta alikanusha tuhuma hizo na kudai kuwa yeye
shughuli yake kubwa ni... mziki na hata anaposafiri kwenda nchi nyingine
watu huwa wanaona yeye anachokifataga huko kama kushuti video nzuri
pamoja na show.
“Mimi sifanyi hiyo biashara nafanya mziki kuna vitu vingi vya
kutuingizia pesa sisi wasanii tunauza video zetu yutubu,matukio miito ya
simu,endorsement na nimeshakuwa balozi wa kampuni kubwa kwahiyo
ninavitu vingi vya kuniingizia pesa”,alisema Shetta.
0 comments:
Post a Comment