Itakumbukwa pia kua Diamond Platnumz alifikia hatua hadi ya kumuimba Chid kua katoboa pua ila cha kushanaza mwaka huu nae Diamond katoboa pua. Ishu ya Diamond kutoboa pua ishasambaa sana ila mpya kwa sasa ni Ommy Dimpoz nae...
kutoboa pua!!!
Imenaswa video ikimwonyesha Ommy Dimpoz akiwaonyesha mashabiki wake kua nae katoboa pua, hadi akatoa heleni ya sikioni na kuiweka puani. Unaweza ona video hiyo hapa chini.
0 comments:
Post a Comment