Kwa
sasa Shilole na Nuh mziwanda washatemana na kila mtu ana mpenzi wake,
huku Nuh akiwa kattutambulisha mrembo mpya na kukiwa na skendo kua
Shilole katemana na Nedy. Basi kama mtakumbuka vizuri siku chache baada
ya Shishi na Nuh kutemana walikutana katika Interview Clouds Tv na
mwisho wa siku waliishia kupigana.Imepita miezi mingi sasa wawili hawa hawajakutana tena mpaka juzi hapa walipokutana tena Clouds Fm katika kipindi cha XXL. Kizuri ni kuwa zamu hii hawajagombana ila kumetokea...
jambo moja lakushangaza zaidi pale walipokua wakiulizwa maswali na BDozen. Alipoulizwa shillole anaionaje nyimbo mpya ya nuhu alisema no comment..!! ila nuhu alipo ulizwa kuwa na tatizo na shishi alisema yeye hana tatizo maana yeye ni mtoto wa kiume. Tazama video hapa chini.



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment