
June
2 2016 Ndio siku rasmi ambayo Lebel ya WCB ilimtambulisha Rich Mavoko
kama msanii wa lebel hiyo, mtu wangu baada ya utambulisho huo uongozi wa
WCB uliamua kufanya party ya Kumkaribisha Rich Mavoko pamoja na mke wa
Meneja wa Harmonize (Ricardo Momo) kwenye familia hiyo, party ambayo
ilifanyika nyumbani kwa Diamond Platnumz.
0 comments:
Post a Comment