Pages

Subscribe:

Thursday, October 6, 2016

NIKKI WA II: JOH MAKINI NDIYE ALIYE NIFUNDISHA KUSOMA NA KUANDIKA


13658704_1078612238893251_888944839_n
Nick wa Pili alikuwa mmoja wa wale watoto waliojua kusoma na kuandika (walau wa uchache) kwa kufundishwa tu nyumbani kabla ya kuanza shule rasmi. Na ni kaka yake, Joh Makini ndiye alikuwa mwalimu wake wa kwanza.

“Joh Makini kwanza ndiye aliyenifundisha kusoma na kuandika kabla ya kuanza darasa la kwanza,” Nick alimwambia Mwandishi. Pamoja na kukiri kuwa kaka yake ni kichwa, haoni kama angependa kuja kuwa...
mwalimu.
“Sijui kama hicho kilikuwa ndani yake, lakini naona ni mtu mwenye akili sana, sijui nitamweka wapi lakini kama asingekuwa msanii angekuwa anafanya kitu kingine tu,” alieleza.

Nick wa Pili ni msomi wa shahada ya uzamili kwa sasa.

0 comments:

Post a Comment