Msanii Ray C amesema sasa hana muda tena wa kuhangaika na vijana
katika mapenzi na kudai anatafuta mzee wa miaka 60 atulie naye.
Ray C amesema hayo jana kupitia kipindi cha NIRVANA wakati akihojiwa na Deogratius Kithama na kusema sasa anatafuta mzee kuanzia miaka 60 ndiyo anaweza kuwa naye kwenye mahusiano na kusema muda wa...
kucheza na vijana kwake umeshapita.
Mbali na hilo Ray C alizungumzia juu ya jaribio lake la miaka ya
nyuma kutaka kubadili kifua chake na kusema ni kweli alitaka kufanya
hivyo kwani anaamini kila binadamu kuna kitu anaweza kutaka kukifanya
vile ambavyo yeye anapenda kiwe, japo jambo hilo hakuweza kulifanya.
Ray C amesema hayo jana kupitia kipindi cha NIRVANA wakati akihojiwa na Deogratius Kithama na kusema sasa anatafuta mzee kuanzia miaka 60 ndiyo anaweza kuwa naye kwenye mahusiano na kusema muda wa...
kucheza na vijana kwake umeshapita.
"Nimeshakuwa sana katika
mahusiano na vijana naona hakuna jipya sasa nimeamua kutoka huko na
kutafuta mtu mzima angalau miaka hamsini hivi, tena hata huyo naona bado
kijana bora awe na miaka sitini hivi nitulie naye, hawa vijana
wameshanichosha mimi" alisema Ray C
0 comments:
Post a Comment