Msanii wa muziki wa bongo fleva, Shetta amefunguka na kuseme siku ya
kesho Alhamis amashusha wimbo wake mpya baada ya kimya cha muda mrefu
huku akidai kuwa sasa ni wakati sahihi yeye kuachia ngoma hiyo ambayo
anasema italeta shida.
kuwaangusha kwa kazi hiyo mpya.
"Kesho naachia mzigo mpya
hivyo mashabiki wangu wake mkao mzuri kusikia na kutazama ujio mpya wa
Shetta, naamini walini miss sana ila nakata kiu yao kwani huu ni wakati
wangu kufanya kweli sasa, wamefanya yao sasa ni zamu ya Shetta kufanya
yake" alisisitiza Shetta
0 comments:
Post a Comment