Pages

Subscribe:

Tuesday, September 12, 2017

VERA SINDIKA AWAPIGA CHINI WANAUME KUTOKA NCHINI NIGERIA



Mwanamitandao maarufu kutoka nchini Kenya, Vera Sidika amejibu wadada kutoka Nigeria wanaobeza mahusiano ya wanawake kutoka sehemu zingine kwa wanaume wa nchi hiyo.

Kwa mujibu wa mrembo huyo ambaye aliawahi kuwa na mahusiano na mwanaume kutoka nchini hiyo, amewajibu kuwa kwa sasa...
hana mpango wa kuwa na mahusiano na mwanaume kutoa nchini hiyo hivyo waache presha.

“It’s funny how some Nigerian girls always talking about “these gals should stop taking our men” no! It’s your men that go after foreign girls! Why not focus on keeping your men in your country than attack foreign girls for dating naija Men,” amesma mrembo huyo.

“Pia akaongeza kuwa “They approach them not the other way round! Maybe u should ask yourself why it’s so than point fingers on others. Coz it’s unfair attacking people for no reason. FYI, I don’t intend to date a Nigerian man. So don’t panic Lagos is lit thou.”

0 comments:

Post a Comment