Pages

Subscribe:

Monday, October 9, 2017

DIAMOND AWAKALISHA DAVIDO, WIZKID NA FALLY IPUPA TUZO ZA AFRIMMA



Msanii wa muziki Bongo, Diamond ameibuka mshindi baada ya kunyakuwa tuzo ya Afrimma katika kipengele cha Best Artist of The Year.

Tuzo hizo ambazo zimetolewa usiku wa kuamkia leo Taxes nchini Marekani, Diamond amewashinda wasanii kadhaa wakubwa wa Afrika kama Davido na Wizkid ambao walikuwa wakiwania tuzo hiyo katika...
kipengele kimoja kama inayonekana hapa chini

Artist of The Year:

Flavour (Nigeria)
Diamond Platnumz ( Tanzania)
Fally Ipupa- Congo
Wizkid (Nigeria)
Cassper Nyovest (South Africa)
Davido – (Nigeria)
Eddy Kenzo – Uganda
Tekno – Nigeria
Mr Eazi – Nigeria
C4 Pedro – Angola

0 comments:

Post a Comment