Pages

Subscribe:

Friday, October 6, 2017

DAVIDO AFUNGUKA HAYA JUU YA TUHUMA ZA MAUAJI ZINAZO MKABILI


Baada ya Muigizaji wa Nollywood, Caroline Dunjuamo kudai kwamba Davido ameutelekeza mwili wa mshikaji wake anayefahamika kama tagbo, kutokana walikuwa pamoja siku nzima mpaka umauti unamkuta mshikaji, Davido ameamua kufunguka kuhusu ishu hii kwa majonzi kupitia akaunti yake ya Snapchat.

Davido aamua kutumia akaunti yake ya Snapchat kueleza hisia zake juu ya sakata la mauaji ambalo baadhi ya watu wanadai kuwa aliutelekeza mwili wa mshikaji wake Hospitalini kupoteza ushahidi kama...
amehusika kwenye ishu hiyo. Kupitia Snapchat #davido anasema hizo habari zinazoenea kuhusu kifo cha #tagbo kwamba yeye amehusika ni uongo, watu wanapanga kumuharibia jina lake.Swipe kuona posti nyingine ya davido.

Davido anadai kwamba siku zot ukweli huwa unafahamika na Mungu peke na ameamua kuelezea kwamba hatoweza tena kuongelea sakata hilo.

0 comments:

Post a Comment