Pages

Subscribe:

Friday, October 6, 2017

CALISAH ADAI KUWA MWANAMTINDO DAXX CRUZ NGEDERE

Lile bifu kati ya wanamitindo wa kiume wawili hapa bongo Daxx Cruz na Calisah, limeelekea kubaya zaidi baada ya vijana hao ambao wanapeperusha bendera kwenye tasnia ya mitindo kuitana majina mabaya. 

Jana kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Calisah akiongea na Big Chawa amemuita Dax 'Ngedere', na kumtaka Big Chawa aache...
kumuuliza habari za Dax.

Siku za hivi karibuni mwanamitindo Dax Cruz alipokuwa na huyo huyo Big Chawa, alipoulizwa kuhusu Calisah alisema kijana huyo hana vigezo vya kuwa mwanamitindo wa kimataifa kama ambavyo yeye anafanya.

0 comments:

Post a Comment