Pages

Subscribe:

Friday, October 6, 2017

NYANSHISKI KUIBEBA BENDERA YA AFRIKA MASHARIKI TUZO ZA MTV

Majina ya wanaowania tuzo za MTV EMA 2017 yameshatoka, tumeshazoea kuyaona majina ya wasanii wetu Diamond Platnumz na Alikiba kushine kipengele hiko, This time around rapper Nyashinski kutoka Kenya ndio ameibeba bendera ya Afrika Mashariki kwenye tuzo hizo.

Unajua Nyashinski ni moja ya wasnaii ambao wenye uwezo wa kuimba na Kurap kwa asilimia kubwa sana, katika tuzo hizo zinazotarajiwa...
kunukishwa Jijini London Novemba 13 mwaka huu, Nyashinski amewekwa kwenye kategori ya BEST AFRICAN ACT akiwa anachuana na wakongwe wa sekta hizo ambao ni kina Davido, Wizkid, Bebes Wodumo, C4 pedro na Nasty C.

Ukirudi nyuma mwaka jana, Tuzo hiyo ilibebwa na mzee wa Seduce Me, King Kiba baada ya kutokea kimakosa kwa kukabidhiwa Wizkid, nakumbuka kipindi hiki Mashabiki walikuwa wanaenda hadi kwenye Instagram Akaunti ya Wizkid kulalamika kuhusu tuzo hiyo.

TAZAMA FFULL LISTI HPA

Best Song
Clean Bandit, “Rockabye” f. Sean Paul & Anne-Marie
DJ Khaled, “Wild Thoughts” f. Rihanna, Bryson Tiller
Ed Sheeran, “Shape of You”
Luis Fonsi & Daddy Yankee – “Despacito” (Remix) f. Justin Bieber
Shawn Mendes, “There’s Nothing Holdin’ Me Back”


Best Artist
Ariana Grande
Ed Sheeran
Kendrick Lamar
Miley Cyrus
Shawn Mendes
Taylor Swift


Best Look
Dua Lipa
Harry Styles
Rita Ora
Taylor Swift
Zayn


Best New
Dua Lipa
Julia Michaels
Khalid
Kyle
Rag’n’Bone Man


Best Pop
Camila Cabello
Demi Lovato
Miley Cyrus
Shawn Mendes
Taylor Swift


Best Video
Foo Fighters, “Run”
Katy Perry, “Bon Appetit” ft. Migos
Kendrick Lamar, “Humble”
Kyle, “iSpy” f. Lil Yachty
Taylor Swift, “Look What You Made Me Do'”


Best Live
Bruno Mars
Coldplay
Ed Sheeran
Eminem
U2


Best Electronic
Calvin Harris
David Guetta
Major Lazer
Martin Garrix
The Chainsmokers


Best Rock
Coldplay
Foo Fighters
Royal Blood
The Killers
U2


Best Hip Hop
Drake
Eminem
Future
Kendrick Lamar
Post Malone


Best Alternative
Imagine Dragons
Lana Del Rey
Lorde
The xx
Thirty Seconds to Mars


Biggest Fans
Ariana Grande
Justin Bieber
Katy Perry
Shawn Mendes
Taylor Swift


Best Push
Hailee Steinfeld
Jon Bellion
Julia Michaels
Kacy Hill
Khalid
Kyle
Noah Cyrus
Petite Meller
Rag’n’Bone Man
SZA
The Head and The Heart

0 comments:

Post a Comment