Rapper King Kaka wa Kenya, amewatupia lawama mapromota wa nchini humo
kwa kuwalipa fedha nyingi wasanii wa nje kwenye show na kuwapa kiduchu
wasanii wa ndani.
Ametoa malalamiko hayo kwenye mtandao wa Facebook na kuwatolea mfano
Diamond na Alikiba ambao wamekuwa wakilipwa mamilioni ya shilingi kila...
wakitumbuiza nchini humo.
“Sazile Alikiba anakam na analipwa hiyo 2million sio mbaya, Diamond
anakam analipwa hiyo 2 Million, Na Nani pia anakam analipwa 2 Million,
na Nani pia 2 million but on the same performance utaona wameweka
legends wa hapa Kenya na trust me wamepewa 300k, 400k ata unaweza Pata
mi 100k (shame, what a shame) sahizo bado yule amekupa show anataka cut
yake which sio mbaya but what do fans expect. Hii kitu yote iko
connected,” aliandika Rabbit.
Amedai kuwa wasanii wa Kenya hawapewi heshima wanayostahili na hivyo kudidimiza muziki wa nchi hiyo.
Soma post yake nzima hapa:
'Respect your elders, I started doing this $**t while you were still in
diapers' I think Nameless akiandika hiyo line alikuwa ananiongelea na
hawa marapper wote wanajiita Kings na Ma Queens na hii Generation yote
mpya ya musicians. But kile mimi inaniuma ni Kitu inaitwa RESPECT ama
RESPEK, just put some respect on these guys (kama sijakuweka kwa list
jiweke tu ama mafans wakuweke).
Sazile Alikiba anakam na analipwa hiyo 2million sio mbaya, Diamond
anakam analipwa hiyo 2 Million, Na Nani pia anakam analipwa 2 Million,
na Nani pia 2 million but on the same performance utaona wameweka
legends wa hapa Kenya na trust me wamepewa 300k, 400k ata unaweza Pata
mi 100k (shame, what a shame) sahizo bado yule amekupa show anataka cut
yake which sio mbaya but what do fans expect. Hii kitu yote iko
connected.
Fact 1: pay an Artiste 100k unaexpect aende South Africa kushoot video
(yet by the way mimi uona ni ufala, huku Kuna Enos, Kyalo, J Blessing,
Wallace na ni wanoma) so atalipa ndege na album yake ama???? So don't
expect many Godfather Campos videos huku any time soon.
Fact 2: Less play kwa stations, na hii mimi nakuwanga advocate (kwanza
kama Kuna stations ulikuwa unaniona na sikuhizi haunioni, hao walicatch
wale wananipa airplay Big Up but good Thing mafans wangu wako tight na
Mimi kwa MA mathree na kejani zao, Hauwezi zima moto ya Mungu, aje??? Ha
ha ha)
Fact 3: mafans unajua tunawapenda sana na sana, but Si twende concert za
Wasanii wakenya pia vile sisi uenda za nje, vile Sauti Sol wako na
album Si twende Supermarket tukabuy (ata mimi nijitete, niko na album
nne niko itunes na hizo ma Mziiki na kadhalika ukitaka physical niko na
jeshi yangu itakuletea) anyway we as artists are very thankful but let's
show more support that's the only way we will get Nameless and Wyre
walipwe 2 million, let's vote kwa wale wako nominated let's watch their
links kwa youtube let's get entertained (na nyinyi pia Wasanii make more
effort just alittle more, mdogo mdogo)
Fact 4: mimi kwanza ni fan mnoma sana wa Kenyan Music from tene sana and
na msee aliniInspire was and still is Chiwawa (najua hii generation ya
KuDab hamjui mtu kama huyu, well Google is your friend) anyway hizi ma
MCSK, PRISK, CMO'S, PRSP get your act right tafadhali. Msanii anaingia
studio anafanya kazi yake, wewe Si ufanye kazi yako. bado unataka atoke
studio akuje demonstration bado unaexpect aishi kwa hao poa, bado
tunaexpect aDrive gari nzuri ati hasipande mat, bado unaexpect aende SA,
bado unaexpect amake statement aje. Ataenda studio saa ngapi na ataenda
demonstration saa ngapi???
Anyway I am thankful to all the stations zinacheza more Kenyan (endeleni
hivyo hivyo) All the Djs who push for more Kenyan (kwanza nyinyi hapo
mnacheza role Kubwaaaaaaaa sana BIG UP , we appreciate, all the fans
wale wameenda sahii kucheki album yangu iTunes na kama ushawai buy any
Kenyan Music BIG UP, wale wote ubuy tiko za show na wanaenda manze
nyinyi ni shujaa (wakireWrite history mnafaa muwekwe -my opinion), wale
event organizers upush msanii apewe more money BIG up (sababu music is
art and it's not even equivalent to that 2 million nasema, but gets the
art growing) , kama uko na mix ya Kenyan kwa keja yako ama more songs za
Kenya kwa simu yako BIG UP wewe ni shujaa.
All I am saying let's start by putting some RESPECT on our Legends akina
Nameless, akina WYRE, (wale wanaPut in work) list ni Refu you know
them. (mimi ntajitetea baadaye, but we have to start somewhere) na you
can quote me.
Mafans wangu tuendele,
Back to regular programming, my new video is out 'Besha Shigana ' icheki
youtube na uiDownload legally (hizo maTubidy na waptrick hazifikishi
doh kwa msanii)
Ni hayo tu kwa sasa. Have a Beautiful day ata naenda studio.
#TheKing'sSpeech3
Tuesday, August 9, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment