Kuna imani kuwa duniani wawiliwawili! Hii inajidhihirisha kwa mwanadada
Lisa Deedee `Tuerny’ ambaye amejipatia umaarufu mitandaoni kutokana na
kufananishwa na staa wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu.
Kupitia gazeti, mrembo huyo anafunguka mambo mbalimbali usiyoyajua
kuhusu yeye; Ijumaa: Hivi Tuerny ulijuaje kuwa unafanana na Wema?
Tuerny: Nakumbuka mwaka 2012 niliweka picha mtandaoni, mama akanitumia
sms kwamba ninafanana na Wema, nilishtuka lakini...