Jeshi la Polisi nchini Italia limefanya uzinduzi wa gari aina ya Lamborghini Huracan kwa ajili ya kufanyia doria kwa askari wa barabarani ‘Trafiki’. Uzinduzi huo ulifanywa na...
Waziri wa Mambo ya Ndani Marco Minniti katika sherehe iliyofanyika Alhamisi March 30, 2017 ambapo miongoni mwa sifa za gari hilo ni pamoja na V10 engine, 610 horsepower, na kasi ya 0-62 hadi 3.2 kwa sekunde na kasi ya juu kabisa ni 201 mph (325 km/h).
0 comments:
Post a Comment