WAZIRI WA SANAA, UTAMADUNI NA MICHEZO KUWAPATANISHA DIAMOND NA ALIKIBA
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Harisson Mwakyembe
amepokelewa na wafanyakazi wa Wizara yake Mjini Dodoma huku akiahidi
kuwaweka pamoja wasanii Diamond na Ally Kiba.
Pia amefurahishwa na matokeo ya Stars ndani ya wiki kutokana na kuzifunga Botswana na Burundi.Pamoja na hayo, ameahidi kuliondoa... neno kichwa cha mwendawazimu katika Soka.
0 comments:
Post a Comment