Kama bado hujaisikia ngoma ya “Ya Kulevya” basi hutaelewa posti ya madee kwenye kurasa yake ya Twitter inamaana gani kuhusu ngoma hiyo “Ya kulevya” kutoka kwa Weusi.
Baada ya kuiachia ngoma yao jana kwa mashabiki wao ambao walikuwa na hamu ya kusikia mzigo mpya kutoka kwa Weusi, this time wamekuja na mzigo mpya ambao n...
i moto wa kuotea mbali, unaitwa “Ya Kulevya”, Sasa Good Newz ni kwamba vibe ya ngoma ya “Ya kulevya” imemfanya mzee wa Hela, Madee kuinyooshea mikono.
Kupitia kurasa ya twitter ya Madee aliandika tweet ya Yakulevyaaaa @nikkwapili
0 comments:
Post a Comment