“Watu wamekuwa wakilinganisha muonekano wangu na fedha, ninachoamini kuvaa sio fedha nyingi sana ila kuvaa ni...
passion ya mtu, so kila mtu anavaa ndio maana nikasema ukivaje unapendeza kitu ambacho kipo watu wanavaa huwezi kutembea utupu hata siku moja,” amesem Dogo Janja.
Kabla ya kuachia ngoma yake “Ukivaje Unapendeza’ aliingia katika ubishani na watu wengi baada ya kujigamba kuwa yeye ndiye masanii anayeongoza kwa kupendeza Bongo.



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment