“Mtu ambaye anaweza kutumia twitter ni mtu ambaye amepevuka kwa sababu kule kuna watu wa aina nyingine kabisa, hakuna matusi kama...
tunavyoona instagram na facebook, hakuna kuchambana kule ni kuelimishana,” Madee ameiambia Bongo5.
Ameongeza kuwa, “yeyote ambaye hajawahi kutumia twitter akianza ataenjoy kinoma, ndio maana nikiandika kitu chochote kule twitter lazima kiwe kikubwa, kwa sababu watua wanaokiona na wanaokisoma ni wenye hekima na akili,” amesema Madee.
Madee katika mtandao wa twitter anafollowers 30.5k na instagram followers milioni moja.



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment