Pages

Subscribe:

Monday, March 6, 2017

ASHLEY GRAHAM AMSHANGAZA BABA MWENYE NYUMBA


Achia body kama unalo! mrembo Ashley graham alijikuta akiachia wazi vichuchu wazi katika zoezi la upigaji picha akiwa ameva tshirt flani hivi nyepesi wakati wa kufanya photoshoot ya kipicha kali zenye msisimko wa kimahaba.

Mrembo huyo wakati akifanya zoezi hilo la upigaji picha mzee mwenye nyumba  unaambiwa alikuwa karibu akishuhudia zoezi zima wengi walidhania picha hizi ni kwa ajili ya...
cover photo yenye dili kubwa mwishowe Ashley alitupia picha zote kwenye akaunti yake ya INSTAGRAM.

Kikongo bongo mastaa wenye uchizi wa kupiga picha tata yupo Gigy money, Sanchoka pamoja na Amber Lulu wanaingia kundi moja na ashley graham kupiga picha tata na hawaingizi chochote.

0 comments:

Post a Comment