Pages

Subscribe:

Tuesday, March 14, 2017

HII NDIYO DISS YA NICKI MINAJ KWENDA KWA MEEK MILL


Nicki Minaj ambaye kwasasa yupo kwenye beef kubwa na Remy Ma ametumia sekunde chache kwenye show yake na Drake kumdiss Ex boyfriend wake ambaye ni rapa Meek Mill.

Wakati wanafanya show yao Minaj na Drake waliimba
nyimbo kama “Moments 4 life” “Truffle Butter” na diss yake kwa...
Remy Ma “No Frauds”

katika show hiyo Minaj alizima Mziki na kusema “Nawashauri mkimbize ndoto zenu na msikubali kutoka kwenye njia zenu, nyie ni muhimu! Kama wewe mwanaume hujui jinsi ya kukujali vizuri, inabidi atoke kwenye maisha yako..! Hii ilionekana ni Diss kwa mtu mzima Meek Mill.

0 comments:

Post a Comment