Pages

Subscribe:

Thursday, March 9, 2017

NICKI MINAJ: SINA MUDA WA KUJIBU UONGO WA REMY MA


Rapa Nicki Minaj hana mpango wowote wa kumjibu Remy Ma kwasasa kufuatia Remy Ma kutoa Dis track iliyomdiss Nicki kwa kumuita kila aina ya majina mabaya.

Nicki anahisi yote aliyofanya imetokana na uvumi ulioenezwa na watu kuchafua majina ya washikaji walio na ukaribu naye kama; Ebro, Trey Songz, Lil Wayne na...
Safaree.

Nicki amekataa kabisa kuendeleza bifu hiyo na ataendelea kukaa kimya siku zote asiangukie kwenye mtego wa kumjibu Remy Ma.

Meneja wa msanii Nicki Minaj ameueleza mtandao wa TMZ ukimya ni jibu tosha na  Nicki amefanikiwa si mara zote anaweza kukaa kimya lakini kwa hili aendelee kukaa kimya ni busara.

Nicki kwasasa yupo zake kwenye maonyesho ya mavazi jijini Paris Katika Fashion Week tayari Nicki amefanya collabo  mbili mpya na Future na GucciMane washabiki wa Nicki wazitegemee wakati wowote.

0 comments:

Post a Comment