Staa wa filamu Nchini Riyama Ally,
amewafungukia na kuwashambulia wezi wa mtandaoni wanaofanya hivyo kwa
kutumia akaunti za watu maarufu, Riyama amedai wezi hao wameichukua akaunti ya mumewe na kufuta picha zote kisha kutangaza kuiuza kwa Sh. 70,000.
Aidha Riyama ameeleza kuwa mwizi huyo ameshapatikana na watamchukulia
hatua za kisheria ili...
liwe fundisho kwa wezi na matapeli wengine wa
mtandaoni.
Muigizaji huyo mahiri wa filamu ambaye ni mama wa mtoto mmoja, yupo katika list ya wasanii wachache wa filamu waliofunga ndoa.



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment