Pages

Subscribe:

Wednesday, March 8, 2017

SWAE LEE HAJAKATA TAMAA KWA MTOTO WA OBAMA


Rapa Swae Lee wa Rae Sremmurd hajakata tamaa kumpata Malia Obama unamambiwa ameenda mipango Kabambe ya kumnyaka mtoto huyo wa kwanza wa Barack El Pablo Obama.

Mshikaji amesema ana mipango sahihi ya kumnasa binti huyo na anafahamu ni njia zipi za kumuingia Mr Obama amkubalie kumchukua Binti Yake. Mshikaji ameweka wazi...
mipango yake yote ya dating ikiwa watakutana na Binti obama.

0 comments:

Post a Comment