Pages

Subscribe:

Tuesday, March 7, 2017

Watch & Download: Gaucho_Sawa (Official Video)


Kutoka katika lebo ya muziki ya mwanadada Shilole (Shilole Entertainment) huyu hapa ni msanii afahamikae kama Gaucho na ameileta video ya ngoma yake mpya ambayo kiap jina la Sawa. Nimeona sio mbaya kama nikikusogezea hapa ili uweze kuenjoy nayo, kwasababu ina kila sababu ya kuitwa muziki mzuri. Enjoy

Watch Here 

0 comments:

Post a Comment