Pages

Subscribe:

Friday, October 13, 2017

DIMBA LA WHITE HART LANE LAFIKIA HATUA NZURI


Ujenzi wa kiwanja kipya cha White hart lane umefikia katika hali nzuri baada ya wajenzi wa uwanja huo kufanya kazi kwa haraka ili kuweza kumaliza uwanja huo kwa wakati na utumiwe na klabu hiyo yenye makazi yake jijini London.

Wakati ujenzi huo ukiendelea uwanja huo utakuwa ndio uwanja mkubwa kati ya timu zinazo toka katika jiji la London huku ukiupita uwanja wa...
mahasimu wao EMIRATES STADIUM ambao unatumiwa na klabu ya Arsenal.

Progress continues to be made on Tottenham's new 61,559-seater stadium ahead of the start of the 2018-19 campaign
HII HAPA CHINI NDIYO EMIRATES STADIUM AMBAYO NI MASKANI YA ARSENAL
Image result for emirates stadium
kupitia ukurasa wa Twitter wa Totteham hostpurs wamesema wanafuraha kuona uwanja huo utakuwa wa kwanza kwa kuingiza watu wengi London kwani utakuwa unaingiza watu 61,559 huku ule wa Emirates ukiingiza 60,000

Tottenham have provided fans with regular updates on the progress of their new stadium with weekly posts on Twitter
A photo from outside shows significant progress has been made on what will be London's biggest club football ground
.Tottenham's official Twitter account posted an image of the view supporters will see walking out to the new White Hart LaneSpurs are playing home matches at Wembley this season while they wait for the new state-of-the-art ground to be completed

A builder works on the new ground as cranes cover the site of the old White Hart Lane where Tottenham played for 118 years

0 comments:

Post a Comment