Pages

Subscribe:

Tuesday, October 3, 2017

INSTAGRAM WAMTAMBUA ASLAY NA KUIVERIFY ACCOUNT YAKE


Msanii wa Bongo Flava, Aslay amekuwa moja ya kundi dogo la wasanii kutoka Bongo walio verified kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram.

Aslay ambaye ana-hit kadhaa ikiwemo ‘Pusha’ ameingia kwenye orodha ya wasanii wa walio Verified  Instagram  kama Diamond Platnumz, Vanessa Mdee, Jux, Ben Pol, Barakah The Prince, Ommy Dimpoz na...
Alikiba.

Msanii huyo ambaye amekuwa akifanya kazi chini ya Meneja Chambuso kutoka Mkubwa na Wanawe kupitia YaMoto Band ana watu milioni 1.1 wanaomfuatilia katika mtandao huo, huku akiwa amewaacha wasanii wa rika lake kama Young Killer, Dogo Janja na Young Dee, Beka, Harmonize, Rayvanny, Rich Mavoko, Lava lava, Country Boy na wengineo waliwa bado hawapo Verified.

0 comments:

Post a Comment