KUHUSU KUFUNGA NDOA NA MNAIJERIA LADY JAYDEE ASEMA HAYA
Msanii Lady Jaydee amesema sasa hivi hafikirii kufunga ndoa na mchumba
wake Mnigeria ambaye pia ni msanii, kwa sababu haamini kila mahusiano ni
lazima yaishie kwenye ndoa.
Jaydee
ametoa siri hiyo leo na kuwataka watu wasitegemee jambo hilo
kwake na wasikariri kila mahusiano yataishia kwenye ndoa, kwani... wapo
waliokimbilia ndoa na zikawashinda.
0 comments:
Post a Comment