Pages

Subscribe:

Monday, October 2, 2017

MTANDAO WA TIDAL KUTOA MSAADA HUU PUERTO RICO


Wakati Donald Trump akiendelea kulalamikiwa kwa kutotilia maanani umuhimu kuhusu majanga yaliyotokea huko Puerto Rico, Mtandao wa Kustream nyimbo mtandaoni, Tidal umeshirikiana na Gavana wa New York Andrew Cuomo katika kutuma ndege za mizigo ambazo zimejazwa misaada kwa ajili maafa yaliyotokea ya Kimbunga.

Taarifa hiyo imetolewa kupitia Kurasa ya Instagram ya Tidal, pamoja na wasanii wengine kibao kama Fat Joe na Rihanna wote walitumia Usanii wao katika...
kushare na Dunia taarifa hiyo.

Kama utakumbuka wiki chache zilizopita Pitbull nae alituma ndege yake kuelekea Puerto Rico kwa ajili ya kusaidia watu wenye matatizo ya Cancer kuweza kutolewa huko na kuletwa Marekani kwa ajili ya Matibabu.

0 comments:

Post a Comment