Pages

Subscribe:

Wednesday, October 4, 2017

ROMA AMTAKA MAMA IVAN ASIMBANIE AMPATIE MTOTO WA PILI


Zanzibar Hakuna Makabila!!
.
.
 Oiii 
Mzee Baba Mjomba Kaka!
Msanii wa Hip hop bongo, Ibrahim Musa maarufu kama Roma Mkatoliki, amemuomba mkewe asiendelee kubana ili aweze kumpatia mtoto wa pili, kwani Ivan (mtoto wao wa kwanza ) kashakua. 

Kwenye ukurasa wake wa Instagram Roma ameandika ujumbe akimpongeza mkewe kwa kutimiza miaka miwili tangu wafunge ndoa takatifu, na kumuomba amzalie mtoto wa pili wa kike huku akiandaa...
na jina kabisa la kumuita.

"Tarehe kama a leo miaka miwili iliyopita nilipokea sakramenti ya ndoa takatifu na ukawa mke wangu wa halali, nakupenda sana mke wangu, umekuwa mke bora sana hata leo nikiambiwa nioe tena mke mwingine...hakika nitakuoa wewe, ombi langu kwako, Ivan kashakua fanya mafekeche basi nipate kamdogo kake kakike hata nikaite Yvone, unanikazia sana aisee daaah!! legeza kidogo mama la ninja eti", ameandika Roma.

Roma na mke wake Nancy walifunga ndoa takatifu Oktoba 3, 2015 mkoani Tanga, ambako ndio nyumbani kwa msanii huyo.

Alichokiandika Roma instagram

0 comments:

Post a Comment