Pages

Subscribe:

Tuesday, October 3, 2017

SNURA: SIJAWAHI KUVAA NGUO FUPI JUU YA MAGOTI

Msanii Snura Mushi ambaye hivi karibuni alikiri kuwa hawezi kuacha kuvaa nguo za utupu anapokuwa kwenye kazi zake akitafuta ugali wa watoto wake, amekanusha kitendo hicho na kusema hajawahi kuvaa nguo ambazo hazifai kwa jamii kwenye show zake. 

Snura amesema mara nyingi amekuwa msanii ambaye anajistiri sana anapokuwa jukwaani, lakini kwenye suala la kukata mauno hawezi...
pinga kwani ndio kipaji chake.

Snura ameendelea kwa kusema kwamba kitendo hicho hakijatokea na hakitakuja tokea kwenye maisha yake ya muziki.

0 comments:

Post a Comment