Pages

Subscribe:

Wednesday, October 4, 2017

STORY: NILILALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI - 23

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (22)
Mtunzi: Daud Makoba 
0754 89 53 21
Wimbi lile lilituzoa na kutupeperusha juujuu kabla halijatushusha na kutufanya tupige ukelele wa katikati ya hofu na mashaka. Ukelele wetu ulikatwa na sauti kali iliyotuamuru tunyooshe mikono juu. Aliyesema hayo alisimama upande wa kulia, ndipo tulipogundua tulikuwa karibu na meli kubwa ya mizigo iliyokuwa ikienda nchini kwetu.

Tulitii amri tukanyoosha mikono juu kama mateka wa kivita. Kamba kubwa ikarushwa na kuunasa mtumbwi wetu na kuanza kuvutwa kuelekea iliko meli. Tulifika karibu na meli hiyo tukapatiwa...

Endelea Hapa 

0 comments:

Post a Comment