
Nandy ameendelea kuwa gumzo kwa wasanii mbalimbali wa bongo hasa pale wanapokuwa wakihojiwa na kuulizwa ni msanii gani wa kike wanaye mkubali na kila mmoja amekuwa akimtaja Nandy na kutaja sababu zake sasa huyu hapa Aslay aweka wazi mambo yanayo mfanya amkubali Nady Bofya na umsikilize hapa chini.



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment