Pages

Subscribe:

Tuesday, October 10, 2017

WASHINDI WA MWAGIKA CHALLENGE WAPATA SHAVU KWENYE VIDEO YA G NAKO

Wale washindi wa Mwagika challenge iliyoandaliwa na Kilimanjaro Premium Lager Iddi Kidungwa, Michael Mwalembe na Nasma Msangi wamekula shavu la kutosha kwa kuonekana kwenye video ya wimbo mpya wa “Energy” wa G’Nako.

Shindano la ‘Mwagika Challenge’ lilikuwa na lengo la kuwapa fursa vijana kuonesha vipaji vyao na hatimaye vijana hao walipata fursa ya... kuonesha vya kwao kwenye video ya G Nako

0 comments:

Post a Comment