Pages

Subscribe:

Thursday, March 16, 2017

BOW WOW AINGILIA BIFU LA SNOOP NA DONALD TRUM


Trump bado anazidi kukosolewa kutokana na Tweet yake kuhusu Snoop Dogg, Bow Wow nae ameamua kumtetea Uncle wake, Snoop Dogg.

Tangu kuachiwa kwa video ya Snoop Dogg ya “Lavender” kumekuwa na maneno kila kona kuhusu kipande cha video ambacho Snoop anaonekana kamnyooshea silaha mfano wa Donald Trump, Ishu hiyo ikajaa hadi kupelekea...
Mwanasiasa  Marco Rubio, Mwanasheria wa Trump, Cohen na Rais Trump mwenyewe kufunguka kwa kumaind video hiyo huku wakitoa maneno mazito.

Bow Wow akaona sio kesi nayeye akichukua kurasa yake ya Twitter kulogin kisha kuanza kumtetea Snoop Dogg kutokana na ujumbe aliouandika Donald Trump kwenye kurasa ya Twitter, Bow wow alifunguka hivi, ‘Ayo Donald Trump hebu nyamaza kwa kuongea upumbavu juu ya uncle wangu Snoop Dogg kabla hatujamfanya mke wako kuwakijakazi wetu’

0 comments:

Post a Comment